Vijana Wakatoliki Wafanyakazi Tanzania info@viwawa.co.tz Tanzania
Familia ya vijana wenye imani na utume

Vijana wa Imani, Kazi na Huduma.

Karibu kwenye jukwaa la VIWAWA Tanzania — nyumba ya kijana Mkatoliki anayetamani kukua kiroho, kujenga maadili ya kazi, kushirikiana na wenzake na kulitumikia Kanisa, jamii na Taifa kwa upendo.

Huduma

Mfumo unaounganisha vijana na Kanisa.

Usajili & Profile

Jisajili kupitia parokia/kigango kilichothibitishwa.

Matukio

Tazama na jisajili kwenye matukio ya VIWAWA.

E-Library

Vitabu, Katiba, miongozo na mafundisho.

Ajira

Ajira, internship na job application tracking.

Media

Picha, video na audio za kumbukumbu.

Radio Maria

Unganisha vijana na Radio Maria Tanzania.